03 Mar 2021 00:00:00 AM Breaking News
Mukoko amtia Kaze lawamani YangaTetetesi za soka Ulaya Jumanne 09.02.2021: Messi, Lukaku, Ings, Konate, Shoretire, Alaba, ElliottGomez: Tulieni, tupo tayari kwa vitaVikwazo vya kiuchumi Iran havitaondolewaMangungu kuanza na mambo 11 SimbaMastaa Yanga wapewa siku sabaMorrison azidisha utamu SimbaMbunge akumbusha kilio cha Katiba MpyaKaze afunguka ishu ya Yanga kufungiwa kusajiliTanzania Kutopewa Chanjo ya Corona na WHOGomes amtega Mkude SimbaMikataba yote ilioafikiwa siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho UlayaUGANDA: Watu 32 wapoteza maishaKesi ya Iran kuhusu Marekani yasikilizwaChikwende, Lwanga kuonja balaa la Ligi KuuKambi Yanga Dar kibokoTetesi za soka Ulaya Jumatano 03.02.2021: Messi, Neymar, Mbappe, Sancho, Alli, HakimiPisi Kali Ligi Kuu WanawakeBilionea wa Amazon Jeff Bezos ajiuzuluMTV wameingia kwenye 18 za Diamond tena"Kazi ya serikali sio kulisha Watu"- Rais MagufuliMmemsikia Kaze..! kwa mafundi hawa kazi mnayoCristiano Ronaldo achunguzwa kwa kusafiri ili kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake licha ya masharti ya coronaAjali ya treni na Lori la mizigo VingungutiSimba yabeba taji laoWaandamana kupinga sheria ya usalama wa taifa, UfaransaMAGUFULI: Daktari Aliekimbia Hospitali ya Serikali Kwenda Binafsi AfutweRC Mbeya aunda tume kuchunguza kifo cha derevaGomes: Simba yangu... Mtakula nyingiii!Mastaa Yanga tumbo jotoMagufuli "Wivu unavyowakwamisha watanzania"Mamilioni Yanga yaitesa SimbaMkurugenzi WHO kukutana na Mawaziri wa AfrikaNidhamu ya kujilinda imeitoa Stars Waziri Bashungwa: Tutawasaidia Wasafi Tv kufunguliwaMan United kuchuana dhidi ya Arsenal, Everton na Southampton baada ya kulazwa na Sheffield UnitedRais Yoweri Museveni 'Sitaki Kupatanishwa na Wapinzani'Tamko la Rais Magufuli kuhusu magonjwa ya mlipukoHuko Yanga kumekuchaRais Magufuli Awapa Siku 7 Waziri Gwajima na Jafo, Kisa Hichi HapaMorrison ang'ara, Simba ikiua WasudanSerikali Yapiga Marufuku Kuchukua Ardhi Bila Kulipa FidiaKauli ya Farid Musa baada ya kuibeba Taifa Stars “Guinea kazi wanayo” (+video)Serikali kufutia leseni kwa wanaopandisha bei ya mafuta ya kupikiaWallace Karia Apitishwa na FIFATetesi za soka Ulaya Jumatano 27.02.2021: Di Maria, Upamecano, Garcia, Zirkzee, Tarkowski, BentekeAkamatwa Austria na vinyonga 74 kutoka TanzaniaWaziri Mpango: Chukueni Tahadhari Dhidi ya CoronaBarbara: Tulitaka kuialika Yanga Super Cup lakini...Biden aanza na rais wa Urusi: Putin usituingilie hayakuhusuKwa mara ya kwanza mwislamu achaguliwa kama mwanasheria mkuu MarekaniSimba, Al Hilal kamili Super CupRais Magufuli kuzindua shamba la Miti ChatoBiden: Marufuku raia wa Afrika kusini kuingia MarekaniBruno Fernandes: "Iwapo nimechoka, ninapofikia umri wa miaka 30 au 32, sitoweza kucheza''Rais Xi Jinping aonya dhidi ya kuanzisha vita vipya baridiLokosa is RedThe Hammers, hatahivyo wanakabiliwa na ushindani wa kumsajili Lingard, ambaye pia amehusishwa na Aston Villa na Sheffield United. (Express)Trump atuhumiwa kwa kuchochea uasiTetesi za soka Ulaya Jumanne 26.01.2021: Dzeko, Lingard, Alli, Draxler, Mustafi, Veron, GrayBobi Wine ana siku nne za kupinga matokeo mahakamaniJPM Aanika Alichozungumza na Rais wa EthiopiaChelsea imekataa ofa ya West Ham ya kumchukua mlinzi wa Italia, 26, Emerson Palmieri kwa mkopo. (Sunday Mirror)Kikosi kizima TP Mazembe chaanikwa, kutua J5Rais wa Mexico apata maambukizi ya COVID-19BAHANUZI: Maisha yangu Mungu anajuaAjali ya ndege yaua wachezaji wanne na rais wa klabu BrazilTetesi za soka Ulaya Jumatatu 25.01.2021: Odegaard, Lingard, Gilmour, Mbappe, Alaba, ModricMliosambaza Stika za TRA jiandaeni kisaikolojiaMtambo wa mabao Jamie Vardy kufanyiwa operesheniKimbunga Eloise chapiga Msumbiji na kuleta mafurikoUrusi yaishutumu Marekani kwa kuingilia mambo yake ya ndaniKaze aanza na gia mpyaDidier Gomes kocha mpya SimbaLady Jay Dee Awafungukia Wanaopenda Nyimbo za MatusiMwanamuziki Shetta Aachana na MkeweSarpong Abakishwa Kwa Masharti Mazito YangaRC Kunenge apokea msaada wa mifuko 800 ya sarujiMarekani, WHO sasa mambo safiTaifa Stars yakabidhiwa Milioni 60, kila la heri michuano ya CHAN 2021Waziri Mkuu Mongolia ajiuzuluJohn Bocco karudi kuokoa jahazi la Taifa Stars CHAN Viongozi wa Ulaya kutafuta muarubaini wa Corona leoNMB yajipanga kusaidia na kufufuliwa zao la Mkonge nchiniMkude: Simba naombeni msamahaChameleone ashindwa uchaguzi wa umeyaFiston aongeza mzuka Yanga, kuwasili JumamosiTanzia: Mbunge wa CCM Afariki DuniaMajaliwa atoa maagizo haya kwa Wizara ya KilimoRais mpya wa Marekani Joe Biden aanza kazi baada ya kuapishwaKwanini Lampard anastahili muda zaidi Chelsea?Mexico inataka ushirikiano wa Biden kumaliza mgogoro wa wahamiaji mpakaniTanzia: Naibu Kamishna Magereza Afariki DuniaShikhalo: Simba SC itatoboa AfrikaBiden kuapishwa leo, machozi yamtoka kaburini kwa mtoto wake Alichokisema Rais Magufuli Kuhusu Ajira Milioni 8Simba yanasa mbadala wa Mkude MaliBalozi wa Marekani Uganda azuiwa kumuona Bobi WineMarekani! Taharuki ya Mlipuko Eneo la Uapisho wa Joe Biden, Zoezi LaahirishwaOle Gunnar Solskjaer atumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezajiPolisi Uganda yathibitisha kumuweka kizuizi cha nyumbani Bobi WineMesut Ozil: Kiungo wa kati wa Arsenal kujiunga na Samatta klabu ya FenerbahceTuisila awatikisa nyota MsimbaziUchaguzi Uganda 2021: Upi mustakabali wa Bobi Wine baada ya kushindwa uchaguzi?Bobi Wine kukimbilia mahakamani kupinga matokeo ya uchaguziChikwende, Mnigeria wamesaini Simba, Morrison mh!Rais Magufuli: Shule ipo Dar Es Salaam wanafunzi wanakaa chini, Mkuu wa Wilaya yupo, Mkuu wa Mkoa yupo, Mkurugenzi wa Ubungo bado anakusanya kodi yupo na Mbunge wa Ubunge yupo tena ni profesa wa Elimu.Jinsi uapisho wa Joe Biden utakavyokuwa tofauti huku ulinzi ukiwa mkali?

Nidhamu ya kujilinda imeitoa Stars

Dar es Salaam. Kutolewa kwa Taifa Stars kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (Chan) kumeibua mjadala.

Taifa Stars ilimaliza mchezo wake wa Kundi D juzi, kwa kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Guinea na kufikisha pointi nne, amnazo zilishindwa kuwazidi Zambia na Guinea.

Ushindi pekee ungeweza kuivusha timu hiyo ya kocha Etienne Ndayiragije katika hatua ya robo fainali ya mashindano hayo yanayoendelea nchini Cameroon.

Awali timu hiyo ilichapwa na Zambia mabao 2-0 na kuifunga Namibia bao 1-0 kwenye mchezo wa pili wa kundi lake, ambao uliamsha matumaini ya kufanya vizuri msimu huu.

Matokeo hayo sasa yanalingana na yale ya 2009, wakati Taifa Stars iliposhiriki kwa mara ya kwanza fainali hizo, ambako pia ilimaliza ikiwa na pointi nne, ikitakiwa kushinda katika mchezo wa mwisho, badala yake ikalazimishwa sare za Zambia.

Wachezaji wa zamani pamoja na makocha ambao waliutazama mchezo huo muhimu wa mwisho na ushiriki wa Taifa Stars kwa ujumla, walisema uchaguzi wa kikosi, mpango wa mechi na nidhamu ya mchezo vilichangia kukosa pointi tatu za juzi.

Kocha Amri Said alisema Stars imeondoshwa baada ya kukosa mbinu za kujilinda ilipofunga bao la pili, kauli sawa na iliyotolewa na Mtemi Ramadhan.

“Tulipopata bao la pili lilituvuruga na likawaongezea presha Guinea, lakini tulikosa mbinu za kulinda, pale ndipo tulipotakiwa kubadili kabisa mbinu zetu,” alisema Mtemi Ramadhan.

Nyota huyo wa zamani wa Taifa Stars, Simba na CDA ya Dodoma, alisema pamoja na kwamba Guinea si timu mbovu, lakini Stars ilikuwa na nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali, japo ilikosa misingi ya mpira kulinganisha na wapinzani wao.

“Walikuwa wanapiga tu mipira mbele wakiamini bao linakuja, wapinzani wao walitafuta bao kwa kutumia njia sahihi za mpira, hicho ndicho kilitugharimu.

“Lakini naamini watu wengi watamlaumu kocha kwa wachezaji aliowaacha, lakini mimi niko tofauti kidogo, nampongeza kwa kuwajumuisha chipukizi kikosini na hakuogopa kuwatumia, kama ataendelea kuwapa nafasi naamini watafanya vizuri,” aliongeza.

Amri Said alisema ukomavu wa soka uliwasaidia Guinea, alisema: “Kabla ya kufungana, tuliona kipa wao alivyokuwa na mbinu za kimpira, sisi tulipaswa kutumia mbinu ya kujilinda baada ya kuongoza 2-1, lakini kocha hakufanya hivyo,” alisema.

Mohammed Kiganja, katibu mkuu wa zamani wa BMT, alisema kocha alipaswa kutumia mbinu ya kujilinda baada ya kupata bao la kuongoza.

“Nilishangaa hata kipa wetu hakuwa na mbinu ya kupoteza muda hata kwa kudanganya kaumia ili kuipa timu nafasi ya kujipanga, lakini hakufanya hivyo,” alisema kiongozi huyo wa zamani wa baraza la michezo (BMT).