28 Feb 2021 00:00:00 AM Breaking News
Mukoko amtia Kaze lawamani YangaTetetesi za soka Ulaya Jumanne 09.02.2021: Messi, Lukaku, Ings, Konate, Shoretire, Alaba, ElliottGomez: Tulieni, tupo tayari kwa vitaVikwazo vya kiuchumi Iran havitaondolewaMangungu kuanza na mambo 11 SimbaMastaa Yanga wapewa siku sabaMorrison azidisha utamu SimbaMbunge akumbusha kilio cha Katiba MpyaKaze afunguka ishu ya Yanga kufungiwa kusajiliTanzania Kutopewa Chanjo ya Corona na WHOGomes amtega Mkude SimbaMikataba yote ilioafikiwa siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho UlayaUGANDA: Watu 32 wapoteza maishaKesi ya Iran kuhusu Marekani yasikilizwaChikwende, Lwanga kuonja balaa la Ligi KuuKambi Yanga Dar kibokoTetesi za soka Ulaya Jumatano 03.02.2021: Messi, Neymar, Mbappe, Sancho, Alli, HakimiPisi Kali Ligi Kuu WanawakeBilionea wa Amazon Jeff Bezos ajiuzuluMTV wameingia kwenye 18 za Diamond tena"Kazi ya serikali sio kulisha Watu"- Rais MagufuliMmemsikia Kaze..! kwa mafundi hawa kazi mnayoCristiano Ronaldo achunguzwa kwa kusafiri ili kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake licha ya masharti ya coronaAjali ya treni na Lori la mizigo VingungutiSimba yabeba taji laoWaandamana kupinga sheria ya usalama wa taifa, UfaransaMAGUFULI: Daktari Aliekimbia Hospitali ya Serikali Kwenda Binafsi AfutweRC Mbeya aunda tume kuchunguza kifo cha derevaGomes: Simba yangu... Mtakula nyingiii!Mastaa Yanga tumbo jotoMagufuli "Wivu unavyowakwamisha watanzania"Mamilioni Yanga yaitesa SimbaMkurugenzi WHO kukutana na Mawaziri wa AfrikaNidhamu ya kujilinda imeitoa Stars Waziri Bashungwa: Tutawasaidia Wasafi Tv kufunguliwaMan United kuchuana dhidi ya Arsenal, Everton na Southampton baada ya kulazwa na Sheffield UnitedRais Yoweri Museveni 'Sitaki Kupatanishwa na Wapinzani'Tamko la Rais Magufuli kuhusu magonjwa ya mlipukoHuko Yanga kumekuchaRais Magufuli Awapa Siku 7 Waziri Gwajima na Jafo, Kisa Hichi HapaMorrison ang'ara, Simba ikiua WasudanSerikali Yapiga Marufuku Kuchukua Ardhi Bila Kulipa FidiaKauli ya Farid Musa baada ya kuibeba Taifa Stars “Guinea kazi wanayo” (+video)Serikali kufutia leseni kwa wanaopandisha bei ya mafuta ya kupikiaWallace Karia Apitishwa na FIFATetesi za soka Ulaya Jumatano 27.02.2021: Di Maria, Upamecano, Garcia, Zirkzee, Tarkowski, BentekeAkamatwa Austria na vinyonga 74 kutoka TanzaniaWaziri Mpango: Chukueni Tahadhari Dhidi ya CoronaBarbara: Tulitaka kuialika Yanga Super Cup lakini...Biden aanza na rais wa Urusi: Putin usituingilie hayakuhusuKwa mara ya kwanza mwislamu achaguliwa kama mwanasheria mkuu MarekaniSimba, Al Hilal kamili Super CupRais Magufuli kuzindua shamba la Miti ChatoBiden: Marufuku raia wa Afrika kusini kuingia MarekaniBruno Fernandes: "Iwapo nimechoka, ninapofikia umri wa miaka 30 au 32, sitoweza kucheza''Rais Xi Jinping aonya dhidi ya kuanzisha vita vipya baridiLokosa is RedThe Hammers, hatahivyo wanakabiliwa na ushindani wa kumsajili Lingard, ambaye pia amehusishwa na Aston Villa na Sheffield United. (Express)Trump atuhumiwa kwa kuchochea uasiTetesi za soka Ulaya Jumanne 26.01.2021: Dzeko, Lingard, Alli, Draxler, Mustafi, Veron, GrayBobi Wine ana siku nne za kupinga matokeo mahakamaniJPM Aanika Alichozungumza na Rais wa EthiopiaChelsea imekataa ofa ya West Ham ya kumchukua mlinzi wa Italia, 26, Emerson Palmieri kwa mkopo. (Sunday Mirror)Kikosi kizima TP Mazembe chaanikwa, kutua J5Rais wa Mexico apata maambukizi ya COVID-19BAHANUZI: Maisha yangu Mungu anajuaAjali ya ndege yaua wachezaji wanne na rais wa klabu BrazilTetesi za soka Ulaya Jumatatu 25.01.2021: Odegaard, Lingard, Gilmour, Mbappe, Alaba, ModricMliosambaza Stika za TRA jiandaeni kisaikolojiaMtambo wa mabao Jamie Vardy kufanyiwa operesheniKimbunga Eloise chapiga Msumbiji na kuleta mafurikoUrusi yaishutumu Marekani kwa kuingilia mambo yake ya ndaniKaze aanza na gia mpyaDidier Gomes kocha mpya SimbaLady Jay Dee Awafungukia Wanaopenda Nyimbo za MatusiMwanamuziki Shetta Aachana na MkeweSarpong Abakishwa Kwa Masharti Mazito YangaRC Kunenge apokea msaada wa mifuko 800 ya sarujiMarekani, WHO sasa mambo safiTaifa Stars yakabidhiwa Milioni 60, kila la heri michuano ya CHAN 2021Waziri Mkuu Mongolia ajiuzuluJohn Bocco karudi kuokoa jahazi la Taifa Stars CHAN Viongozi wa Ulaya kutafuta muarubaini wa Corona leoNMB yajipanga kusaidia na kufufuliwa zao la Mkonge nchiniMkude: Simba naombeni msamahaChameleone ashindwa uchaguzi wa umeyaFiston aongeza mzuka Yanga, kuwasili JumamosiTanzia: Mbunge wa CCM Afariki DuniaMajaliwa atoa maagizo haya kwa Wizara ya KilimoRais mpya wa Marekani Joe Biden aanza kazi baada ya kuapishwaKwanini Lampard anastahili muda zaidi Chelsea?Mexico inataka ushirikiano wa Biden kumaliza mgogoro wa wahamiaji mpakaniTanzia: Naibu Kamishna Magereza Afariki DuniaShikhalo: Simba SC itatoboa AfrikaBiden kuapishwa leo, machozi yamtoka kaburini kwa mtoto wake Alichokisema Rais Magufuli Kuhusu Ajira Milioni 8Simba yanasa mbadala wa Mkude MaliBalozi wa Marekani Uganda azuiwa kumuona Bobi WineMarekani! Taharuki ya Mlipuko Eneo la Uapisho wa Joe Biden, Zoezi LaahirishwaOle Gunnar Solskjaer atumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezajiPolisi Uganda yathibitisha kumuweka kizuizi cha nyumbani Bobi WineMesut Ozil: Kiungo wa kati wa Arsenal kujiunga na Samatta klabu ya FenerbahceTuisila awatikisa nyota MsimbaziUchaguzi Uganda 2021: Upi mustakabali wa Bobi Wine baada ya kushindwa uchaguzi?Bobi Wine kukimbilia mahakamani kupinga matokeo ya uchaguziChikwende, Mnigeria wamesaini Simba, Morrison mh!Rais Magufuli: Shule ipo Dar Es Salaam wanafunzi wanakaa chini, Mkuu wa Wilaya yupo, Mkuu wa Mkoa yupo, Mkurugenzi wa Ubungo bado anakusanya kodi yupo na Mbunge wa Ubunge yupo tena ni profesa wa Elimu.Jinsi uapisho wa Joe Biden utakavyokuwa tofauti huku ulinzi ukiwa mkali?

Kimbunga Eloise chapiga Msumbiji na kuleta mafuriko

Baadhi ya maeneo ya kati ya taifa la Msumbiji yamekumbwa na mafuriko baada ya kimbunga Eloise kupiga eneo lililo karibu na mji wa Beira na upepo wenye kasi ya kilomita 160 kwa saa.

  Limpopo vigilant as cyclone Eloise lashes Mozambique - SABC News - Breaking  news, special reports, world, business, sport coverage of all South African  current events. Africa's news leader.

Beira ilipokea milimita 250 za mvua katika kipindi cha saa 24 , kulingana na Taasisi ya kitaifa ya hali ya hewa nchuni humo INAM.

Baadhi ya maafisa na mashirika ya misaada yanachunguza kiwango cha uharibifu huo ili kuweza kuwasaidia walioathirika, na kujaribu kurudisha umeme na mawasiliano ambayo yalikatwa katika baadhi ya maeneo. Watu wameuawa kulingana na maafisa.

     Rain falling

Kimbunga hicho hatahivyo kimeshushwa hadhi na kutajwa kuwa dhoruba ya kitropiki na kilitabiriwa kuelekea Zimbabwe na kaskazini mwa Afrika Kusini mataifa ambayo tayari yamekumbwa na mvua kubwa.

Chris Neeson , ambaye anafanya kazi katika Umoja wa Mataifa katika mji wa Beira alisema: Ilikuwa vigumu kulala kutokana na kelele na hofu. Nilisikia upepo mwingi na mvua ikinyesha mapema alfajiri.

      A man using a bucket to clear water from his house

”Maji yaliingia katika nyumba yangu , pamoja na mawe, na majani ambayo yalikuwa yametoka katika nyumba za majirani wangu. Umeme umekatika tangu usiku uliopita na tumeshindwa kupiga simu”.

”Nilipotoka nje , maji yalikuwa yametapakaa kila mahali hadi katika magoti yangu, huku miti, nyaya za umeme, paa na ua zikiharibiwa na kusafirishwa katika barabara. Nashukuru Mungu mvua imepusa .Sikudhania nitaogopa maji lakini hii ilikuwa inatisha”, alisema.

Wakaazi wa Beira, mji wa pili kwa ukubwa nchini Msumbiji ukiwa na idadi ya watu wapatao 500,000, wanajaribu kuusafisha.

      familia ikiwa imesimama nje ya nyumba yao iliokumba na mafuriko

Zaidi ya nyumba 1,000 zimeangamizwa na nyengine 3,000 zikiharibiwa vibaya kulingana na Antonio Beleza, kutoka Taasisi ya usimamizi wa majanga.

       Kochi likiwa ndani ya chumba kilichokumbwa na mafuriko

Alisema kwamba zaidi ya watu 160,000 waliathiriwa moja kwa moja. Baadhi yao wanajaribu kuokoa chochote kutoka katika nyumba zao zilizokumbwa na mafuriko.

        Watoto wanatembea katika barabara yenye mafuriko huku nguo za kulalia zikianikwa ili kukauka

Miti , na nyaya za umeme pamoja na mabango ya matangazo yalisombwa na nguvu za upepe huo.

       

        Bango la matangazo lililoanguka barabarani

Baadhi ya mito katika eneo hilo pia imevunja kingo zake.

       Mtu amesimama katika daraja ambalo mto wake umevunja kingo zake

Maeneo mengi ya Msumbiji ya kati yapo chini ya maji . Mengi kati ya maeneo hayo ni yale ya mashambani ambapo kuna hofu kwamba watu wengi watapoteza mazao yao .

       Picha ya juu ya eneo lililokumbwa na mafuriko

Viwango vya maji vilikuwa vya juu kabla ya kimbunga hicho kupiga siku ya Jumamosi.

Eneo hilo linaendelea kujiponya kutokana na vimbunga viwili kile cha Idai na Kenneth ambavyo vilikumba taifa hilo mwaka 2019 , na kuwaua mamia huku maelfu wakiwachwa bila makao.