25 Feb 2021 00:00:00 AM Breaking News
Mukoko amtia Kaze lawamani YangaTetetesi za soka Ulaya Jumanne 09.02.2021: Messi, Lukaku, Ings, Konate, Shoretire, Alaba, ElliottGomez: Tulieni, tupo tayari kwa vitaVikwazo vya kiuchumi Iran havitaondolewaMangungu kuanza na mambo 11 SimbaMastaa Yanga wapewa siku sabaMorrison azidisha utamu SimbaMbunge akumbusha kilio cha Katiba MpyaKaze afunguka ishu ya Yanga kufungiwa kusajiliTanzania Kutopewa Chanjo ya Corona na WHOGomes amtega Mkude SimbaMikataba yote ilioafikiwa siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho UlayaUGANDA: Watu 32 wapoteza maishaKesi ya Iran kuhusu Marekani yasikilizwaChikwende, Lwanga kuonja balaa la Ligi KuuKambi Yanga Dar kibokoTetesi za soka Ulaya Jumatano 03.02.2021: Messi, Neymar, Mbappe, Sancho, Alli, HakimiPisi Kali Ligi Kuu WanawakeBilionea wa Amazon Jeff Bezos ajiuzuluMTV wameingia kwenye 18 za Diamond tena"Kazi ya serikali sio kulisha Watu"- Rais MagufuliMmemsikia Kaze..! kwa mafundi hawa kazi mnayoCristiano Ronaldo achunguzwa kwa kusafiri ili kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake licha ya masharti ya coronaAjali ya treni na Lori la mizigo VingungutiSimba yabeba taji laoWaandamana kupinga sheria ya usalama wa taifa, UfaransaMAGUFULI: Daktari Aliekimbia Hospitali ya Serikali Kwenda Binafsi AfutweRC Mbeya aunda tume kuchunguza kifo cha derevaGomes: Simba yangu... Mtakula nyingiii!Mastaa Yanga tumbo jotoMagufuli "Wivu unavyowakwamisha watanzania"Mamilioni Yanga yaitesa SimbaMkurugenzi WHO kukutana na Mawaziri wa AfrikaNidhamu ya kujilinda imeitoa Stars Waziri Bashungwa: Tutawasaidia Wasafi Tv kufunguliwaMan United kuchuana dhidi ya Arsenal, Everton na Southampton baada ya kulazwa na Sheffield UnitedRais Yoweri Museveni 'Sitaki Kupatanishwa na Wapinzani'Tamko la Rais Magufuli kuhusu magonjwa ya mlipukoHuko Yanga kumekuchaRais Magufuli Awapa Siku 7 Waziri Gwajima na Jafo, Kisa Hichi HapaMorrison ang'ara, Simba ikiua WasudanSerikali Yapiga Marufuku Kuchukua Ardhi Bila Kulipa FidiaKauli ya Farid Musa baada ya kuibeba Taifa Stars “Guinea kazi wanayo” (+video)Serikali kufutia leseni kwa wanaopandisha bei ya mafuta ya kupikiaWallace Karia Apitishwa na FIFATetesi za soka Ulaya Jumatano 27.02.2021: Di Maria, Upamecano, Garcia, Zirkzee, Tarkowski, BentekeAkamatwa Austria na vinyonga 74 kutoka TanzaniaWaziri Mpango: Chukueni Tahadhari Dhidi ya CoronaBarbara: Tulitaka kuialika Yanga Super Cup lakini...Biden aanza na rais wa Urusi: Putin usituingilie hayakuhusuKwa mara ya kwanza mwislamu achaguliwa kama mwanasheria mkuu MarekaniSimba, Al Hilal kamili Super CupRais Magufuli kuzindua shamba la Miti ChatoBiden: Marufuku raia wa Afrika kusini kuingia MarekaniBruno Fernandes: "Iwapo nimechoka, ninapofikia umri wa miaka 30 au 32, sitoweza kucheza''Rais Xi Jinping aonya dhidi ya kuanzisha vita vipya baridiLokosa is RedThe Hammers, hatahivyo wanakabiliwa na ushindani wa kumsajili Lingard, ambaye pia amehusishwa na Aston Villa na Sheffield United. (Express)Trump atuhumiwa kwa kuchochea uasiTetesi za soka Ulaya Jumanne 26.01.2021: Dzeko, Lingard, Alli, Draxler, Mustafi, Veron, GrayBobi Wine ana siku nne za kupinga matokeo mahakamaniJPM Aanika Alichozungumza na Rais wa EthiopiaChelsea imekataa ofa ya West Ham ya kumchukua mlinzi wa Italia, 26, Emerson Palmieri kwa mkopo. (Sunday Mirror)Kikosi kizima TP Mazembe chaanikwa, kutua J5Rais wa Mexico apata maambukizi ya COVID-19BAHANUZI: Maisha yangu Mungu anajuaAjali ya ndege yaua wachezaji wanne na rais wa klabu BrazilTetesi za soka Ulaya Jumatatu 25.01.2021: Odegaard, Lingard, Gilmour, Mbappe, Alaba, ModricMliosambaza Stika za TRA jiandaeni kisaikolojiaMtambo wa mabao Jamie Vardy kufanyiwa operesheniKimbunga Eloise chapiga Msumbiji na kuleta mafurikoUrusi yaishutumu Marekani kwa kuingilia mambo yake ya ndaniKaze aanza na gia mpyaDidier Gomes kocha mpya SimbaLady Jay Dee Awafungukia Wanaopenda Nyimbo za MatusiMwanamuziki Shetta Aachana na MkeweSarpong Abakishwa Kwa Masharti Mazito YangaRC Kunenge apokea msaada wa mifuko 800 ya sarujiMarekani, WHO sasa mambo safiTaifa Stars yakabidhiwa Milioni 60, kila la heri michuano ya CHAN 2021Waziri Mkuu Mongolia ajiuzuluJohn Bocco karudi kuokoa jahazi la Taifa Stars CHAN Viongozi wa Ulaya kutafuta muarubaini wa Corona leoNMB yajipanga kusaidia na kufufuliwa zao la Mkonge nchiniMkude: Simba naombeni msamahaChameleone ashindwa uchaguzi wa umeyaFiston aongeza mzuka Yanga, kuwasili JumamosiTanzia: Mbunge wa CCM Afariki DuniaMajaliwa atoa maagizo haya kwa Wizara ya KilimoRais mpya wa Marekani Joe Biden aanza kazi baada ya kuapishwaKwanini Lampard anastahili muda zaidi Chelsea?Mexico inataka ushirikiano wa Biden kumaliza mgogoro wa wahamiaji mpakaniTanzia: Naibu Kamishna Magereza Afariki DuniaShikhalo: Simba SC itatoboa AfrikaBiden kuapishwa leo, machozi yamtoka kaburini kwa mtoto wake Alichokisema Rais Magufuli Kuhusu Ajira Milioni 8Simba yanasa mbadala wa Mkude MaliBalozi wa Marekani Uganda azuiwa kumuona Bobi WineMarekani! Taharuki ya Mlipuko Eneo la Uapisho wa Joe Biden, Zoezi LaahirishwaOle Gunnar Solskjaer atumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezajiPolisi Uganda yathibitisha kumuweka kizuizi cha nyumbani Bobi WineMesut Ozil: Kiungo wa kati wa Arsenal kujiunga na Samatta klabu ya FenerbahceTuisila awatikisa nyota MsimbaziUchaguzi Uganda 2021: Upi mustakabali wa Bobi Wine baada ya kushindwa uchaguzi?Bobi Wine kukimbilia mahakamani kupinga matokeo ya uchaguziChikwende, Mnigeria wamesaini Simba, Morrison mh!Rais Magufuli: Shule ipo Dar Es Salaam wanafunzi wanakaa chini, Mkuu wa Wilaya yupo, Mkuu wa Mkoa yupo, Mkurugenzi wa Ubungo bado anakusanya kodi yupo na Mbunge wa Ubunge yupo tena ni profesa wa Elimu.Jinsi uapisho wa Joe Biden utakavyokuwa tofauti huku ulinzi ukiwa mkali?

Vikwazo vya kiuchumi Iran havitaondolewa

Rais wa Marekani Joe Biden anasema hataondoa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Iran hadi itakapotimiza makubaliano yaliyofikiwa chini ya mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015.

        Biden

Bw Biden alikuwa akizungumza na shirika la habari la Marekani CBS News la Marekani, kwenye mahojiano yaliyotangazwa Jumapili.

Lakini kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amesema Tehran itarejea tu kwenye utekelezaji wa makubaliano hayo kama Marekani itaondoa kwanza vikwazo vya kiuchumi dhidi yake.

Mkataba wa mwaka 2015 ulilenga kuweka ukomo wa mpango wa nyuklia wa Iran, iwapo ingetaka kulegezwa kwa vikwazo hivyo.

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, hata hivyo aliiondoa Marekani katika mkataba huo mwaka 2018 na kuiwekea tena vikwazo, na hivyo kuifanya Iran kuacha kutekeleza baadhi ya ahadi zake katika mkataba huo.

Iran, ambayo inasema kuwa mpango wake wa nyuklia ni wa amani, imekuwa ikiendelea kuongeza kiwango chake cha ururubishaji wa madini ya uranium. Madini ya uranium yaliyorutubishwa yanaweza kutumiwa kutengeneza mabomu ya nyuklia.

Ni kwanini mkataba wa nyuklia ulivunjika ?

Chini ya makubaliano ya mkataba wa mwaka 2015 – mapatatano yaliyofikiwa baina ya Iran, Marekani, Uchina, Ufaransa, Ujerumani, Urusi na Uingereza – Serikali ya Tehran ilikubali kupunguza urutubishaji wa madini yake ya uranium na kuwaruhusu wakaguzi w akimataifa kuyafikia maeneo na viwanda vya urutubishaji wa madini hayo.

        Hali ya uhasama iliongezeka baina ya Iran chini ya utawala wa Rais Hassan Rouhani na utawala wa Marekani chini ya Rais Trump

Hali ya uhasama iliongezeka baina ya Iran chini ya utawala wa Rais Hassan Rouhani na utawala wa Marekani chini ya Rais Trump

Na kwa kutekeleza hilo, vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Tehran viliondolewa,

Lakini Trump aliiondoa Marekani kwenye mkataba huo unaofahamika kama -Mpango wa pamoja wa kina wa utendaji- (JCPOA), katika jitihada za kuishurutisha Iran kufanya mazungumzo ya mkataba mpya, na akarejesha tena vikwazo vya kiuchumi dhidi yake.

Bw Trump alitaka kuzuia kabisa mpango wa nyuklia wa Tehran na pia kuzuia utengenezaji wake wa makombora ya masafa marefu ya ballistic.

Iran ilikataa . Mwezi Julai 2019, ilikiuka 3.67% ya kiwango cha urutubishaji wa madini ya uranium kilichokuwa kimekubaliwa na Januari mwaka huu ilitangaza kuwa imefufua tena urutubishaji wa uranium kwa 20%- kiwango cha uranium kinachotengeneza silaha ni 90%.

Katika video fupi ya sehemu ya mahojiano iliyochapishwa kabla ya mahojiano kamili Jumapili, Bw Biden aliulizwa iwapo ataondoa vikwazo vya kiuchumi ili kuileta Iran tena kwenye meza ya mazungumzo, na jibu lake lilikuwa ni ”Hapana”

Wakati huohuo, Ali Khamenei alisema kwamba kwa Iran kurejea katika utekelezaji wa ahadi zake chini ya mkataba , Marekani sharti kwamba “Ifute vikwazo vyote “, iliripoti televisheni ya taifa la Iran siku ya Jumapili.

“Tuta tathmini, na kama tutaona kwamba wamechukua hatua za uaminifu katika suala hili, tutarejea tena kutekeleza ahadi zetu,” alisema na kuongeza kuwa: ” Hatuwezi kubadilisha msimamo huu na ni uamuzi wa mwisho na maafisa wote wa Iran wamekubaliana kuhusu”

Biden alisema nini kingine?

Rais Biden pia alizungumzia kuhusu mahusiano ya Marekani na Uchina.

      Biden amesema hajabadili msimamo wa sera yake kuihusu Uchina

Biden amesema hajabadili msimamo wa sera yake kuhusu Uchina

Alisema kuwa hakuna sababu ya Marekani kuingizwa moja kwa moja katika mzozo na Beijing, lakini kwamba pande zote husika zinahusika katika kile alichokiita “ushindani wa kupindukia ” katika jukwaa la uchumi wa dunia.

Bw Biden alisema kuwa bado hajazungumza na mwenzake wa Uchina, Xi Jinping, tangu alipochaguliwa kuwa rais mwezi uliopita, na kwamba bado hajabadilisha msimamo wake kuhusu Beijing.

“Anaakili sana, ni mkakamavu sana,”Bw Bidenm alimuelezea Bw Mr Xi, na kuongeza kuwa: “hana demokrasia – herufi ndogo ya ‘d’- ndio aliyozaliwa nayo mwilini mwake.”