Siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho katika Ligi ya Primia na vilabu vya Ligi ya Soka Uingereza ilikuwa ni saa tano usiku Februari mosi, huku vilabu vya Scotland vikiwa na saa moja zaidi ya kukamilisha hatua hiyo.
Dirisha la usajili Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uhispania pia zilifungwa katika saa tofauti tofauti Jumatatu.
Hii hapa ni orodha kamili ya mikataba yote ilioafikiwa siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho Ulaya 2021.
- Tetesi za soka Ulaya Jumanne 02.02.2021
Uhamisho wa siku ya mwisho
1:00: Joshua King [Bournemouth - Everton] kwa mkopo
01:00: Takumi Minamino [Liverpool - Southampton] kwa mkopo
23:39: Josh Maja [Bordeaux - Fulham] kwa mkopo
22:55: Ainsley Maitland-Niles [Arsenal - West Brom] kwa mkopo
22:00: Ozan Kabak [Schalke - Liverpool] kwa mkopo
20:00: Ben Davies [Preston - Liverpool] kwa pauni milioni 2
18:50: Joe Willock [Arsenal - Newcastle] kwa mkopo
18:00: Okay Yokuslu [Celta Vigo - West Brom] kwa mkopo
16:00: Moises Caicedo [Independiente del Valle - Brighton] kwa pauni milioni 4
Ligi ya Uingereza
00:45: Kieron Freeman [Swindon to Swansea] haijabainika
00:45: Jordon Garrick [Swansea to Swindon] kwa mkopo
00:45: Shane Long [Southampton - Bournemouth] kwa mkopo
00:20: Paul Arriola [DC United - Swansea] kwa mkopo
23:45: Anthony Gordon [Everton - Preston] kwa mkopo
23:45: Diallang Jaiyesimi [Swindon - Charlton] Haijabainika
23:45: Patrick Roberts [Manchester City - Derby] kwa mkopo
23:30: Jacob Mellis [Gillingham - Southend] haijabainika
23:30: Beni Baningime [Everton - Derby] kwa mkopo
23:30: Neeskens Kebano [Fulham - Middlesbrough] kwa mkopo
23:30: Max Sanders [Brighton - Lincoln] Haijabainika
23:20: Nicky Maynard [Mansfield - Newport] kwa mkopo
23:20: Derick Osei Yaw [Oxford - Walsall] kwa mkopo
23:20: Yan Valery [Southampton - Birmingham] kwa mkopo
23:15: Elijah Adebayo [Walsall - Luton] Haijabainika
23:15: Sam Field [West Brom - QPR] kwa mkopo
23:15: George Edmundson [Rangers - Derby] kwa mkopo
23:00: Will Grigg [Sunderland - MK Dons] kwa mkopo
23:00: Brandon Barker [Rangers - Oxford] kwa mkopo
22:55: Oliver Sarkic [Blackpool - Mansfield] kwa mkopo
22:37: Nathaniel Mendez-Laing [Middlesbrough] kwa mkataba
22:30: Josh Doherty [Crawley - Colchester] kwa mkopo
22:30: Cohen Bramall [Colchester - Lincoln] Haijabainika
22:30: James Morton [Bristol City - Gillingham] kwa mkopo
22:30: Jack Vale [Blackburn - Rochdale] kwa mkopo
22:30: Christopher Missilou [Northampton - Swindon] Haijabainika
22:30: Curtis Main [Aberdeen - Shrewsbury] Uhamisho wa bure
22:15: Elliot Embleton [Sunderland - Blackpool] kwa mkopo
22:00: Alex Denny [Salford - Morecambe] kwa mkopo
22:00 Max Melbourne [Lincoln - Walsall] kwa mkopo
21:55: Zak Jules [Walsall - MK Dons] Haijabainika
21:35: Teddy Howe [Blackpool - Scunthorpe] kwa mkopo
21:30: Ollie Crankshaw [Wigan - Bradford] Haijabainika
21:30: David Nugent [Preston - Tranmere] kwa mkopo
21:30: Morgan Whittaker [Derby - Swansea] Haijabainika
21:30: Jack Roles [Tottenham - Stevenage] kwa mkopo
21:15: Dan Batty [Hull - Fleetwood] uhamisho wa bure
21:15: Nathan Wood [Middlesbrough - Crewe] kwa mkopo
21:00: Tom Ince [Stoke - Luton] kwa mkopo
21:00: Jahmal Hector-Ingram [Derby - Stevenage] kwa mkopo
21:00: Ali Crawford [Bolton - Tranmere] kwa mkopo
20:30: Sepp van der Berg [Liverpool - Preston] kwa mkopo
20:30: Calum MacDonald [Blackpool - Tranmere] Haijabainika
20:30: Jonny Williams [Charlton - Cardiff] Haijabainika
20:15: Regan Riley [Bolton - Norwich] Haijabainika
20:00: Marcus Maddison [Charlton - Bolton] kwa mkopo
20:00: Jake Eastwood [Sheffield United - Grimsby] kwa mkopo
19:45: Elliot Lee [Luton - Oxford] kwa mkopo
19:45: Lee Gregory [Stoke - Derby] kwa mkopo
19:30: Liam Lindsay [Stoke - Preston] kwa mkopo
19:30: Conor Grant [Sheffield Wednesday - Rochdale] Haijabainika
19:30: Lewis Wing [Middlesbrough - Rotherham] kwa mkopo
19:30: Will Swan [Nottingham Forest - Port Vale] kwa mkopo
19:15: David Morgan [Southport - Accrington] Haijabainika
19:00: Scott Wootton [Plymouth - Wigan] kwa mkopo
19:00: Luke Matheson [Wolves - Ipswich] kwa mkopo
18:51: Josh Andrews [Birmingham - Harrogate] kwa mkopo
18:30: Ryan Broom [Peterborough - Burton] kwa mkopo
18:00: Fabio Tavares [Rochdale - Coventry] Haijabainika
18:00: George Evans [Derby - Millwall] Haijabainika
17:45: Adam Phillips [Burnley - Accrington] kwa mkopo
17:45: Jamie Proctor [Rotherham - Wigan] kwa mkopo
17:30: Joe Adams [Brentford - Grimsby] kwa mkopo
17:30: Aji Alese [West Ham - Cambridge] kwa mkopo
17:30: Mustapha Olagunju [Huddersfield - Port Vale] kwa mkopo
17:30: MJ Williams [Blackpool - Bolton] uhamisho wa bure
17:15: Callum Wright [Leicester - Cheltenham] kwa mkopo
17:00: Oladapo Afolayan [West Ham - Bolton] kwa mkopo
17:00: Daryl Dike [Orlando City - Barnsley] kwa mkopo
17:00: Serhat Tasdemir [Peterborough - Oldham] kwa mkopo
16:30: Lukas Jensen [Burnley - Bolton] kwa mkopo
16:30: Nnamdi Ofoborh [Bournemouth - Wycombe] kwa mkopo
16:15: George Taft [Bolton - Scunthorpe] uhamisho wa bure
16:00: Teden Mengi [Manchester United - Derby] kwa mkopo
15:30: Taylor Harwood-Bellis [Manchester City - Blackburn] kwa mkopo
15:30: Robbie Willmott [Newport - Exeter] kwa mkopo
15:30: Charles Vernam [Burton - Bradford] Haijabainika
15:00: Dior Angus [Barrow - Wrexham] uhamisho wa bure
15:00: Jamie Pardington [Wolves - Mansfield] kwa mkopo
15:00: Frank Nouble [Plymouth - Colchester] kwa mkopo
14:30: Joe Grayson [Blackburn - Oxford] kwa mkopo
14:00: Josh Earl [Preston - Burton] kwa mkopo
14:00: Keyendrah Simmonds [Manchester City - Birmingham] Haijabainika
14:00: Conor Shaughnessy [Leeds - Rochdale] uhamisho wa bure
14:00: Brendan Wiredu [Charlton - Colchester] Haijabainika
14:00: Troy Parrott [Tottenham - Ipswich] kwa mkopo
14:00: Tristan Abrahams [Newport - Leyton Orient] kwa mkopo
13:40: Harry Pickering [Crewe - Blackburn] Haijabainishwa
13:00 Declan Drysdale [Coventry - Cambridge Utd] kwa mkopo
12:15: Max Clark [Vitesse Arnhem - Hull] uhamisho wa bure
11:30: Jayson Leutwiler [Fleetwood - Huddersfield] uhamisho wa bure
11:00: Terry Taylor [Wolves - Burton] Haijabainishwa
11:00: Matt Smith [Arsenal - Charlton] kwa mkopo
11:00: Winston Reid [West Ham - Brentford] kwa mkopo
10:00: Lenell John-Lewis [Hereford - Grimsby] Haijabainishwa
09:30: Glenn Murray [Brighton - Nottingham Forest] uhamisho wa bure
09:00: Orjan Nyland [ Norwich]
Ligi ya Scotland
23:50: Scott Wright [Aberdeen - Rangers] Haijabainishwa
23:34: Jack Simpson [Bournemouth - Rangers] Haijabainishwa
23:19: Florian Kamberi [St Gallen - Aberdeen] kwa mkopo
22:59: Eddie Nolan [Crewe Alexandra - Motherwell] kwa mkopo
22:14: Jordan Roberts [Hearts - Motherwell] kwa mkopo
21:49 Bruce Anderson [Aberdeen - Hamilton] kwa mkopo
21:31: Jonjoe Kenny [Everton - Celtic] kwa mkopo
21:16 Callum Hendry [St Johnstone - Aberdeen] kwa mkopo
21:00: Zech Medley [Arsenal - Kilmarnock] kwa mkopo
20:25: Brandon Pierrick [Crystal Palace - Kilmarnock] kwa mkopo
19:35 Fraser Hornby [Reims - Aberdeen] kwa mkopo
18:05 Charlie Gilmour [Norwich - St Johnstone] Haijabainishwa
14:30 Stevie Mallan [Hibernian - Yeni Malatyaspor] kwa mkopo
13:30 Robbie Crawford [Livingston - Motherwell] kwa mkopo hadi mkataba wa kudumu
Kimataifa
23:15: Adama Diakhaby [Huddersfield - Amiens CC] Haijabainishwa
22:50: Olivier Ntcham [Celtic - Marseille] kwa mkopo
22:39: Maxime le Marchand [Fulham - Royal Antwerp] kwa mkopo
22:00: Shkodran Mustafi [Arsenal - Schalke] uhamisho wa bure
21:15: Miguel Angel Guerrero [Nottingham Forest - Rayo Vallecano] Haijabainishwa
18:16: Cenk Tosun [Everton - Besiktas] kwa mkopo
18:00: Gedson Fernandes [Benfica - Galatasaray] kwa mkopo
17:10: Sami Khedira [Juventus - Hertha Berlin] Haijabainishwa
17:00: DeAndre Yedlin [Newcastle - Galatasaray] Haijabainishwa
17:00: Robert Glatzel [Cardiff - Mainz] kwa mkopo
16:15: Miguel Fernandez [Birmingham - CD Guijuelo] kwa mkopo
09:00: Jonas Lossl [Everton - Midtjylland] Haijabainishwa
09:00: Domingos Quina [Watford - Granada] kwa mkopo
09:00: Martin Samuelsen [Hull - Aalborg] kwa mkopo