Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia amepitishwa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Baraza la FIFA kwa nchi za Afrika zinazozungumza lugha ya Kiingereza. Uchaguzi unatarakia kufanyika mwezi Machi 2021 nchini Morocco.
Get all latest content delivered to your email a few times a month.
No New Polls for Today.